TAARIFA MUHIMU

Kongamano la Wadau wa Tasnia ya Ngozi ambalo lilikuwa lifanyike tarehe 20 Mei 2026 Jijini Dodoma limeahirishwa. Tarehe rasmi itawasilishwa hivi punde. Kamati ya Maandalizi inaendelea na maandalizi.

KONGAMANO LA KITAIFA LA NGOZI 2026

Tarehe rasmi itatangazwa hivi karibuni

Mapinduzi ya Sekta ya Ngozi

Tarehe rasmi itatangazwa hivi karibuni

Fursa Endelevu za Kiuchumi

Tarehe rasmi itatangazwa hivi karibuni

Kuhusu Kongamano la Ngozi 2026

Kongamano la Kitaifa la Wadau wa Tasnia ya Ngozi 2026 linawakutanisha viongozi wa serikali, wafugaji, wawekezaji, wajasiriamali, wabunifu, na wataalamu wa mnyororo wa thamani wa ngozi kuanzia shambani hadi sokoni. Lengo: kuleta Mapinduzi ya Ngozi kwa Uchumi Endelevu.

Tarehe Mpya Itatangazwa Hivi Punde

Kongamano Limeahirishwa Rasmi
Kamati ya Maandalizi inafanya kazi kuhakikisha kongamano la kiwango cha juu linafanyika. Tunawasiliana na wadau wote hivi karibuni.

Maendeleo ya Viwanda

Ushindani wa kimataifa, soko, na uwekezaji.

Teknolojia & Mazingira

Ubora wa ngozi, uvunaji endelevu.

Ujasiriamali & Mitaji

Fursa za biashara, mitaji, ajira.

Hifadhi Nafasi Yako Sasa

Tarehe rasmi itatangazwa hivi karibuni

Subiri usajili kufunguliwa rasmi

Jisajili Hapa

Ukumbi wa Mikutano Jakaya Kikwete (JKCC), Dodoma, Tanzania

Wasiliana Nasi

info@ngozi.or.tz  | 

Tovuti ya NGOZI Tanzania